Featured
Featured
Gallery
Technology
Video
Games
Recent Posts
Tuesday, June 7, 2016
(VIDEO) MCHEKESHAJI STAN BAKORA KAIFANYIA VIDEO NYIMBO YA NATAFUTA KIKI YA RAYMOND (Rayvanny) WA WCB! NIMEKUSOGEZEA HAPA!
Msanii wa vichekesho anaejulikana kwa jina la Stan Bakora ameamua kuifanyia video nyimbo ya msanii Raymond kutoka label ya WCB wasafi ambayo inasimamiwa na mwanamuziki Diamond Platnumz.
RICH MAVOKO; SIKUWAHI KUFIKIRI KAMA NAWEZA KUWA CHINI YA WCB! (+AUDIO)
Msanii Rich Mavoko ambaye ametambulishwa leo rasmi chini ya label ya WCB inayosimamiwa na msanii mwenzie Diamond Platnumz.
Amefunguka leo alipohojiwa na Perfect Crispin wa Clouds FM katika kipindi cha XXL segment ya 255.
Amefunguka leo alipohojiwa na Perfect Crispin wa Clouds FM katika kipindi cha XXL segment ya 255.


