Msanii wa vichekesho anaejulikana kwa jina la Stan Bakora ameamua kuifanyia video nyimbo ya msanii Raymond kutoka label ya WCB wasafi ambayo inasimamiwa na mwanamuziki Diamond Platnumz.
Tuesday, June 7, 2016
RICH MAVOKO; SIKUWAHI KUFIKIRI KAMA NAWEZA KUWA CHINI YA WCB! (+AUDIO)
Msanii Rich Mavoko ambaye ametambulishwa leo rasmi chini ya label ya WCB inayosimamiwa na msanii mwenzie Diamond Platnumz.
Amefunguka leo alipohojiwa na Perfect Crispin wa Clouds FM katika kipindi cha XXL segment ya 255.
Amefunguka leo alipohojiwa na Perfect Crispin wa Clouds FM katika kipindi cha XXL segment ya 255.